Ajira Mpya Ajira Portal Tanzania 2026 – Nafasi Za Kazi Serikali
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia mfumo wa Ajira Portal imetangaza nafasi mbalimbali za kazi katika taasisi za serikali nchini Tanzania.
Mfumo wa Ajira Portal ni jukwaa rasmi la serikali linalotumika kutangaza na kupokea maombi ya kazi serikalini kwa uwazi na usawa kwa waombaji wote.
Katika tangazo la hivi karibuni, taasisi ya Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania (CPB) pamoja na halmashauri mbalimbali zimetangaza nafasi kadhaa za ajira.
Mwisho wa kutuma maombi kwa baadhi ya nafasi hizi ni tarehe 10 Machi 2026 hivyo waombaji wanashauriwa kuapply mapema.
1. Procurement Officer II (Nafasi 2)
Mwajiri: Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania (CPB)
Idadi ya nafasi: 2
Mwisho wa maombi: 10 Machi 2026
Majukumu ya Kazi
Mwombaji atakayechaguliwa kufanya kazi hii atakuwa na majukumu yafuatayo:
Kuandaa nyaraka za zabuni (Tender Documents)
Kufuatilia mahitaji ya manunuzi ya taasisi
Kusimamia mchakato wa zabuni na manunuzi
Kukusanya taarifa za bei za soko
Kufuatilia upokeaji wa vifaa vilivyonunuliwa
Sifa za Mwombaji
Mwombaji anatakiwa kuwa na:
Shahada ya Procurement and Logistics Management
Au Supply Chain Management kutoka chuo kinachotambulika
Awe na ujuzi wa kompyuta
Ushauri kwa Waombaji
Nafasi za procurement zinahitaji sana watu wenye ujuzi wa sheria za manunuzi ya serikali. Hakikisha kwenye CV yako umeonyesha:
Internship au training ya procurement
Ujuzi wa mifumo ya manunuzi
Uzoefu wa kazi kama upo
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
2. Accounts Assistant II (Nafasi 3)
Mwajiri: Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania
Idadi ya nafasi: 3
Mwisho wa maombi: 10 Machi 2026
Majukumu ya Kazi
Kurekodi miamala ya fedha
Kuandaa voucher za malipo
Kusimamia kumbukumbu za kifedha
Kusaidia kuandaa taarifa za hesabu
Sifa za Mwombaji
Diploma ya Accounting
Au Financial Management
Awe na ujuzi wa kutumia mifumo ya uhasibu
Comment / Ushauri
Kazi za Accounts Assistant huwa na waombaji wengi sana. Ili kuongeza nafasi yako:
Onyesha ujuzi wa Excel
Weka internship ya accounting kama uliifanya
Hakikisha vyeti vyako vyote vimeupload Ajira Portal
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
3. ICT Officer II (Programmer) – Nafasi 1
Mwajiri: CPB
Hii ni ajira inayotafutwa sana na vijana waliomaliza Computer Science na IT.
Majukumu ya Kazi
Kutengeneza na kuboresha mifumo ya kompyuta
Kusimamia database za taasisi
Kufanya maintenance ya software
Kutatua matatizo ya kiufundi
Sifa za Mwombaji
Degree ya Computer Science
Au Information Technology
Awe na ujuzi wa programming
Ushauri
Kama unaomba nafasi hii ni vizuri kwenye profile yako ya Ajira Portal kuweka:
Programming languages unazojua
Miradi ya software uliyoifanya
Ujuzi wa database
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
4. Quality Assurance Officer II – Nafasi 7
Mwajiri: Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania
Idadi ya nafasi: 7
Majukumu ya Kazi
Kusimamia ubora wa bidhaa
Kufanya ukaguzi wa bidhaa na vifaa
Kufanya tathmini ya viwango vya ubora
Kuandaa ripoti za ubora
Sifa za Mwombaji
Shahada ya Food Science
Agricultural Engineering
Au taaluma nyingine inayohusiana na ubora wa bidhaa
Ushauri
Hii ni ajira yenye nafasi nyingi (7), hivyo ina uwezekano mkubwa wa kupata kazi kama una sifa zinazohitajika.
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
5. Mechanical Technician II – Nafasi 2
Majukumu
Kufanya matengenezo ya mashine
Kufuatilia utendaji wa mitambo
Kufanya ukaguzi wa vifaa vya kiufundi
Sifa
Diploma ya Mechanical Engineering
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
6. Electrical Technician II – Nafasi 2
Majukumu
Kusimamia mifumo ya umeme
Kufanya ukarabati wa vifaa vya umeme
Kufanya ukaguzi wa vifaa
Sifa
Diploma ya Electrical Engineering
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
7. Dereva Daraja II – Nafasi 4
Mwajiri: Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
Mwisho wa maombi: 11 Machi 2026
Majukumu ya Kazi
Kuendesha magari ya serikali
Kufanya ukaguzi wa gari kabla ya safari
Kusafirisha wafanyakazi wa taasisi
Sifa za Mwombaji
Leseni ya daraja E au C
Awe na uzoefu wa kuendesha gari
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
8. Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II – Nafasi 4
Mwajiri: Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
Majukumu
Kuandaa barua na nyaraka za ofisi
Kupokea wageni
Kutunza kumbukumbu za ofisi
Sifa
Diploma ya Secretarial Studies
Au Office Management
👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/
Jinsi ya Kuapply Ajira Portal (Hatua Muhimu)
Hatua za kuapply ni hizi:
Hatua ya 1
Tembelea website rasmi:
Hatua ya 2
Tengeneza account (Register)
Hatua ya 3
Jaza profile yako:
Personal details
Education
Work experience
Hatua ya 4
Upload documents:
CV
Vyeti vya elimu
Birth certificate
Passport size photo
Hatua ya 5
Chagua kazi na bonyeza Apply
Vigezo Muhimu Kwa Waombaji
Waombaji wa kazi kupitia Ajira Portal wanapaswa:
Kuwa raia wa Tanzania
Kutoa taarifa sahihi kwenye mfumo
Kuattach vyeti vyote vinavyotakiwa
Kufuatilia deadline ya maombi
Ushauri Muhimu Kwa Wanaotafuta Ajira
Hakikisha profile yako Ajira Portal imekamilika
Weka CV yenye maelezo mazuri
Apply kazi nyingi tofauti
Angalia matangazo ya ajira kila wiki
Usitumie vyeti vya kughushi
Hitimisho
Ajira Portal ni njia rasmi ya serikali ya Tanzania kuajiri watumishi wa umma. Nafasi mpya za kazi hutangazwa mara kwa mara katika taasisi mbalimbali.
Kama unatafuta kazi katika mikoa kama Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza au Mbeya, hakikisha unatembelea Ajira Portal mara kwa mara ili kuona nafasi mpya.
👉 Bonyeza hapa kuapply kazi
https://portal.ajira.go.tz/
No comments:
Post a Comment