ARTICLE
Moja ya changamoto kubwa kwa wanaoanza blog ni kukosa visitors.
Watu wengi hukata tamaa wakiona blog yao ina visitors 10 au 20 tu kwa siku. Lakini ukweli ni kwamba karibu kila blog kubwa duniani ilianza hivyo hivyo.
Sababu Blog Mpya Haina Visitors Wengi
Sababu kuu ni:
-
Google bado haijaitambua blog yako vizuri
-
content ni chache
-
SEO haijafanywa vizuri
Njia za Kukuza Blog Haraka
1. Andika Articles Ndefu
Google inapenda sana articles ndefu zenye maelezo ya kina.
Jaribu kuandika posts zenye:
-
maneno 1500 hadi 3000
-
maelezo ya kina
-
mifano halisi
2. Tumia SEO Keywords
SEO ni muhimu sana.
Chagua keywords ambazo watu wanatafuta kwenye Google kama:
-
earn money online
-
online jobs Africa
-
blogging tips
3. Share Kwenye Social Media
Baada ya kuandika post, isambaze kwenye:
-
Facebook
-
WhatsApp
-
Telegram
Hitimisho
Blog kubwa haijengwi kwa siku moja.
Kwa kuandika articles nyingi, ndefu, na zenye thamani, baada ya miezi kadhaa utaanza kuona traffic kubwa kutoka Google.
No comments:
Post a Comment