Nafasi Mpya za Kazi 20+ Tanzania 2026 – Ajira Portal (Dodoma, Dar es Salaam na Mikoa Mingine) - SixmailizJobs

Thursday, March 5, 2026

Nafasi Mpya za Kazi 20+ Tanzania 2026 – Ajira Portal (Dodoma, Dar es Salaam na Mikoa Mingine)

 

1. Assistant Lecturer – Political Science and Public Administration

Mwajiri: Dar es Salaam University College of Education (DUCE)
Mahali: Dar es Salaam
Idadi ya nafasi: 1

Majukumu ya kazi

  • Kufundisha wanafunzi wa chuo kikuu

  • Kuandaa tafiti za kitaaluma

  • Kusimamia wanafunzi katika miradi ya utafiti

Sifa za mwombaji

  • Shahada ya Uzamili (Masters) katika Political Science au Public Administration

  • GPA nzuri katika shahada na uzamili

  • Uwezo wa kufanya tafiti za kitaaluma

👉 Apply hapa
https://portal.ajira.go.tz/


2. Assistant Lecturer – Mathematics Teaching Methods

Mwajiri: Dar es Salaam University College of Education (DUCE)
Mahali: Dar es Salaam

Majukumu

  • Kufundisha masomo ya hisabati

  • Kuandaa mitaala na mitihani

  • Kusimamia tafiti za wanafunzi

Sifa

  • Masters ya Education au Mathematics

  • Shahada ya Bachelor ya Science with Education

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


3. Assistant Librarian (Software Development)

Mwajiri: DUCE
Mahali: Dar es Salaam

Majukumu

  • Kusimamia mifumo ya maktaba

  • Kutengeneza na kuboresha mfumo wa digital library

  • Kusaidia wanafunzi kupata taarifa za maktaba

Sifa

  • Shahada ya Computer Science au Information Technology

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


4. Tutor II – Food Science

Mwajiri: Fisheries Education and Training Agency (FETA)

Majukumu

  • Kufundisha wanafunzi wa vyuo vya ufundi

  • Kuandaa mafunzo na mitihani

  • Kusimamia maabara ya chakula

Sifa

  • Shahada ya Food Science and Technology

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


5. Assistant Tutor II – Master Fisherman

Mwajiri: Fisheries Education and Training Agency (FETA)

Majukumu

  • Kufundisha masomo ya uvuvi

  • Kusimamia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi

Sifa

  • Shahada au Diploma ya Fisheries

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


6. Tutor II – Veterinary Medicine

Mwajiri: Livestock Training Agency (LITA)

Majukumu

  • Kufundisha masomo ya mifugo

  • Kufanya tafiti za maendeleo ya mifugo

Sifa

  • Shahada ya Veterinary Medicine

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


7. Tutor II – Agricultural Economics

Mwajiri: Livestock Training Agency (LITA)

Majukumu

  • Kufundisha uchumi wa kilimo

  • Kufanya tafiti za maendeleo ya mifugo

Sifa

  • Shahada ya Agricultural Economics

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


8. Engineer II – Marine and Refrigeration

Mwajiri: Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO)

Majukumu

  • Kusimamia vifaa vya meli za uvuvi

  • Kufanya matengenezo ya vifaa vya majokofu

Sifa

  • Shahada ya Marine Engineering au Mechanical Engineering

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


9. Deckhand Auxiliary II

Mwajiri: Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO)

Majukumu

  • Kusaidia shughuli za uvuvi kwenye meli

  • Kusimamia vifaa vya uvuvi

Sifa

  • Elimu ya msingi ya uvuvi au uzoefu wa kazi baharini

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


10. Assistant Technician – Mineral Laboratory

Mwajiri: Geological Survey of Tanzania (GST)

Idadi ya nafasi

6

Majukumu

  • Kuchunguza sampuli za madini

  • Kufanya uchambuzi wa maabara

Sifa

  • Diploma au Degree ya Geology au Chemistry

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


11. Driver Grade II

Mwajiri: Handeni Town Council

Majukumu

  • Kuendesha gari za halmashauri

  • Kusimamia matengenezo ya gari

Sifa

  • Leseni ya udereva daraja E

  • Uzoefu wa udereva

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


12. Office Operations Assistant II

Mwajiri: Handeni Town Council

Majukumu

  • Kusimamia usafi na shughuli za ofisi

  • Kusaidia kazi za kila siku za ofisi

Sifa

  • Elimu ya kidato cha nne

👉 Apply Here
https://portal.ajira.go.tz/


Jinsi ya Kuapply Kazi Ajira Portal

Fuata hatua hizi kuapply:

  1. Nenda kwenye Ajira Portal
    https://portal.ajira.go.tz/

  2. Fungua account

  3. Weka taarifa zako

  4. Upload vyeti

  5. Chagua kazi na submit maombi

Ajira Portal ni mfumo rasmi wa serikali wa kutuma maombi ya kazi za utumishi wa umma Tanzania.


Hitimisho

Kama unatafuta nafasi mpya za kazi Tanzania, tembelea Ajira Portal mara kwa mara kwa sababu nafasi mpya hutangazwa kila wiki.

Kupitia portal hiyo unaweza kuapply kazi nyingi katika:

  • Serikali

  • Vyuo vikuu

  • Mashirika ya umma

  • Halmashauri

Hakikisha unatuma maombi mapema kabla ya tarehe ya mwisho.

No comments:

Post a Comment

Translate