MBINU 5 ZA KUPIGA PESA MTANDAONI 2026: Mchongo wa Micro-Tasks (Part 3) - SixmailizJobs

Sunday, August 30, 2026

MBINU 5 ZA KUPIGA PESA MTANDAONI 2026: Mchongo wa Micro-Tasks (Part 3)

 Ukiacha kufupisha links na kuuza PDF, kuna mbinu nyingine inayokulipa pesa kila siku kwa kufanya kazi ndogo ndogo ambazo hazihitaji ujuzi wowote mkubwa wa kompyuta.


 Mbinu ya 3: Kazi Ndogo Ndogo (Micro-Tasks)

Kuna tovuti za kimataifa kama Toloka, SproutGigs, na Microworkers ambazo zinatafuta watu wa kufanya kazi rahisi kwa niaba ya makampuni makubwa ya kiteknolojia na Akili Bandia (AI). 


Kazi unazotakiwa kuzifanya kwenye mifumo hii ni pamoja na:

* Kulike au ku-comment kwenye picha za Instagram na video za TikTok.

* Kusubscribe chaneli za YouTube za watu.

* Kupiga picha maduka au barabara za mtaani kwako na kuzi-upload.

* Kulinganisha picha na kuona kama zinafanana.


Kila kazi moja unayoikamilisha inalipa kati ya senti 2 hadi Dola $2 za kimarekani kulingana na uzito wake. Ukikaa kwenye simu yako kwa masaa 3 hadi 4 kwa siku, unaweza kuingiza kati ya Dola $3 hadi $10 (Tsh 8,000 hadi Tsh 27,000+) kwa siku. Ni mchongo mzuri sana wa kupata pesa ya haraka ya kula na bando bila kutumia mtaji.


Je, unajua mbinu inayofuata inakuwezesha kupata kamisheni ya pesa bila kumiliki bidhaa yoyote? Part 4 ipo tayari sasa hivi!


➡️ [BOFYA HAPA KUSOMA MBINU YA NNE (PART 4) RASMI]


No comments:

Post a Comment

Translate