MBINU 5 ZA KUPIGA PESA MTANDAONI 2026: Mchongo wa URL Shorteners (Part 1) - SixmailizJobs

Sunday, August 30, 2026

MBINU 5 ZA KUPIGA PESA MTANDAONI 2026: Mchongo wa URL Shorteners (Part 1)

 Umechoka kuishia kuweka bando la kuangalia udaku bila kuingiza hata mia? Mwaka 2026, unaweza kugeuza simu yako ikawa mashine ya kutengeneza pesa ya kula na mtaji kwa kutumia mbinu halali kabisa. Leo tunaanza mfululizo wa mbinu 5 za haraka, na tunaanza na Part 1.


 Mbinu ya 1: Mchongo wa URL Shorteners (Kufupisha Links)

Hii ndiyo njia ya haraka zaidi kwa sababu haihitaji uandike makala ndefu wala uwe na mtaji. Kazi yako ni kuchukua link ya kitu kinachotafutwa sana na watu kwa sasa (kama link ya kuangalia mechi ya soka live, matokeo ya mitihani, au kupakua wimbo mpya wa msanii mkubwa).


Ukishapata hiyo link, nenda kwenye mitandao ya kufupisha link kama ShrinkMe.io au mifumo ya Direct Link. Unafupisha ile link na kuwa mpya. Watu 1,000 wa Tanzania wakibofya hiyo link mpya ili kuona kile kitu, mfumo unawaonyesha matangazo kwa sekunde 5, na wewe unaingiza kati ya Dola $5 hadi $20 (Tsh 13,000 hadi Tsh 54,000+) ndani ya siku moja! Pesa yako unaitoa kwa M-Pesa au Airtel Money kupitia mifumo ya mtandaoni.


Je, unataka kujua mbinu ya pili inayoruhusu kuingiza pesa hapo hapo kwa kuuza vitu vya bure kwa kutumia Canva? Sehemu ya pili (Part 2) ipo tayari sasa hivi!


➡️ [BOFYA HAPA KUSOMA MBINU YA PILI (PART 2) RASMI]


No comments:

Post a Comment

Translate