Karibu kwenye Sehemu ya Pili (Part 2) ya mfululizo wa mbinu za kupiga pesa mtandaoni kwa kutumia simu yako.
Mbinu ya 2: Kuuza Bidhaa za Kidijitali (Digital Products)
Digital Product ni bidhaa yoyote ambayo haina umbo la kushikika, na mteja anaitumiwa kwa njia ya WhatsApp au Email baada ya kulipia. Uzuri wa mbinu hii ni kwamba unatengeneza bidhaa mara moja tu, lakini unaweza kuiuza kwa watu milioni moja na ukapiga pesa ya papo kwa papo kwenye simu yako.
Mifano ya bidhaa unazoweza kuuza hapa Tanzania ni pamoja na:
1. Past Papers za shule na majibu yake yaliyowekwa kwenye PDF.
2. Mifumo na staili za kuandika CV za kisasa (CV Templates) kwa kutumia Canva.
3. Vitabu vifupi vya miongozo (eBooks) kama "Jinsi ya kukuza kuku wa kienyeji."
Unachotakiwa kufanya ni kutengeneza bango zuri la kuvutia ukitumia Canva, kisha unapost TikTok na Instagram. Weka bei rahisi, mfano Tsh 2,000 tu. Watu 50 tu wa Tanzania wakikutumia hiyo Tsh 2,000 kwenye simu yako kwa siku, tayari una Tsh 100,000 yako safi mfukoni!
Mbinu ya tatu inalipa kwa kufanya kazi rahisi sana kama kulike picha au kusubscribe chaneli za watu. Nenda kasome Part 3 uone mchongo ulivyo.
➡️ [BOFYA HAPA KUSOMA MBINU YA TATU (PART 3) RASMI]
No comments:
Post a Comment